Habari za Punde

UCHAGUZI ULIVYOKUWA MAGOGONI

AFISA WA KITUO CHA KUPIGIA KURA AKITIZAMA JINA LA MPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA ILI APATE KUPIGA KURA YAKE


MUAGALIZI WA UCHAGUZI WA KIMATAIFA AKIAJALIA MAJINA YA WAPIGA KURA YALIOBANDIKWA KATIKA KITUO CHA AMANI VIWANDANI

AFISA WA UCHAGUZI WA KITUO CHA AMAAN AKITOWA MAELEKEZO KWA WAPIGA KURA KUWAONESHA VITUO VYAO KWA ELIFABETI ZA MAJINA YAO

AFISA WA KITUO CHA UCHAGUZI CHA AMAAN AKIMUANGALIZIA JINA LAKE MWANANCHI ALIEFIKA KUPIGA KURA KATIKA KITUO HICHO

WANANCHI WAKIWA KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA

MAWAKALA WA VYAMA VYA CCM, SAU NA CUF VILIVYOSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA MAGOGONI WAKITIZAMA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA WANAOFIKA KUPIGA KURA

WANANCHI WA JIMBO LA MAGOGONI WAKIWA KATIKA FOLENI YA KUPIGA KURA KATIKA KITUO CHA VIWANDA VIDOGO VIDOGO AMANI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.