6/recent/ticker-posts

UCHONGAJI WA VINYAGO

Kijana Karim akichonga kinyago katika mji mkongwe kwa ajili ya biashara ya kitalii. Watalii wengi wanaotembelea visiwa vya Unguja na Pemba huvutiwa sana na vitu vya sanaa ya uchoraji na uchongaj pamoja na sehemu za kihistoria

Post a Comment

0 Comments