
MKURUGENZI wa TVZ Chande Omar akimpa haii mdau wa blog hii baada ya kumaliza mafunzo yake ya kuripoti habari za uchaguzi yaliondaliwa na Wadau wa habari wa Deutsche Welle

MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Mitawi akimkabidhi Cheti mdau wa habari za picha Othman Maulid baada ya kumaliza mafunzo ya uandishi wa habari kuripoti habari za Uchaguzi yaliyoandaliwa na Deutsche Welle na kuwashirikisha waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar.

Omary Mcheju akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo

MKUFUNZI Charles akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Mitawi baada ya kufunga mafunzo hayo ya kuripoti habari za uchaguzi yalioendeshwa na Deutsche Welle katika ukumbi wa TVZ Mnazi Mmoja.

WAKUFUNZI wa Mafunzo ya kuripoti habari za Uchaguzi wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu wao nje ya jengo la TVZ, baada ya kumaliza mafunzo yao yaliotolewa na shirika la utangazaji la Ujerumani la DEUTSCHE WELLE
No comments:
Post a Comment