GASSHUKU 2025 LA JUNDOKAN TANZANIA LAFANA JIJINI DAR
-
Wanafunzi na wakufunzi wa Jundokan Karate Do Tanzania leo Jumapili, Julai
6, 2025, wameungana katika Gasshuku – yaani semina maalum ya karate –
iliyof...
1 hour ago
Wacha nibahatishe kama bado naikumbuka zanzibar, hapa ni eneo la Kikwajuni chini ukikaa kwa juu kutokea uwanja wa Mao Tse Tung na klabu ya kikwajuni kama unaendea msikiti wa kikwajuni juu kwa Bacho.
ReplyDeleteUmejaribu lakini bado hujaagua. Kumbuka maeneo ya Kikwajuni hayana miti mingi kama kulivyo hapa.
ReplyDeleteThanks for trying
Mapara
Mzee hiyo ulichukua chakechake Pemba hiyo siku ulikuwa umekaa hotel ya chake nakumbuka mzeee
ReplyDeleteNi kweli hapa ni eneo la Chake chake ni upande wa kushoto kama ukiteremka kuelekea Tibirinzi. Lakini panaitwaje? Jee eneo hili lnaitwa Mkungu Malofa au ni upande wa pili ndio kunaitwa hivyo.
ReplyDeleteMdau
USA
Naam,hapa ni maeneo ya Mkungu Malofa,na hizo skyscrapers uzionazo kwa juu ni
ReplyDeleteza mtaa wa biashara wa Misufini.
Ni sawa wakuu, hapa ni Mkungu Malofa na picha hii ilipigwa kutokea Hoteli ya Chake chake.
ReplyDeleteTunawashukuru wote ambao kumbukumbu zenu bado ziko fit.