Habari za Punde

BANDARI YA MALINDI WAA, KWA HUDUMA NZURI ZENJ

BANDARI ya Malindi Zanzibar ikitowa huduma za kibandari kwa Meli mbalimbali za ukubwa tofauti baada ya kumalizika kwa ujenzi wake na kuanza kutowa huduma za kupokea mizigo na kupakia katika bandari hiyo ya Malindi, kama inavyoonekana moja ya meli za mizigo zikipata huduma hiyo ya upakuzi wa mizigo bandarini hapo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.