6/recent/ticker-posts

BARABARA ZIKIREMBESHWA

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Sogea Sotam inayozifanyia ukarabati mkubwa barabara za mjini Unguja wakiweka alama za kuongozea magari katika barabara ya Rahaleo baada ya kuweka Round About katika makutano ya barabara za kwabiziredi, Kijangwani , Michezani na Miembeni kama walivyokutwa na mpiga picha.

Post a Comment

0 Comments