Habari za Punde

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA KATIKA PICHA

 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mohammed  Gharib Bilali, akisalimiana  na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,  Maalim  Seif Sharif Hamad, katika sherehe  za miaka 49 ya Uhuru ziliofanyika jana uwanja wa uhuru Jijini Dar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Benjamin Willium Mkapa, katika sherehe  za miaka 49 ya Uhuru ziliofanyika jana uwanja wa uhuru Jijini Dar
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi  Dk Shein akisalimiana na Mkuu wa majeshi Tanzania
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasalimia wananchi waliohudhuria sherehe za Miaka 49 ya Uhuru , zilizofanyika jana Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam


 Vikosi  mbali mbali vya Ulinzi  na Usalama vya Jeshi,Polisi,JKT,Mafunzo na Wanamaji wakipita mbele ya Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete na kutoa salamu ya Heshima kwa Gwaride katika kushereheka  miaka 49 ya Uhuru
                                     

 Vijana wa Halaiki wakicheza halaiki kwa maamkizi kwa wageni waliohudhuria katika sherehe za miaka 46 ya Uhuru,zilizofanyika jana,Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Jakaya Mrisho Kikwete,akikagua Gwaride rasmi la majeshi ya Ulinzi,wakati wa sherehe  za  miaka 49 ya Uhuru wa Tanganyika
 Ndege za Jeshi la wananchi zikipita angani kusalimia,katika sherehe za Uhuru kutimia miaka 49 uwanja wa Uhuru Jijini Dar.

Wananchi waliohudhuria sherehe za Uhuru

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

1 comment:

  1. uhuru wa watanganyika siyo tanzania bara unatafua ugovi na mtikila na watanganyika wenye uchungu na nchi yao wengi ni mafisadi hawapendi kuitwa watanganyika kwasababu ya ujinga wao

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.