Habari za Punde

HII NI HAKI?

 JAMANI hii ni haki kwa mnyama huyu anayetumiwa kukokota gari na kuwekwa mzigo na wenye mzigo kumpanda bila ya kujali haki za Wanyama, wakiwa wamestarehe wakiendelea na safari yao wakiwa katika barabara ya Kwalamsha
Hata nasi tukiwezeshwa tunaweza si lazima mtuwekee maji kwenye beseni au tunywe chini tunaweza kunywa kwenye mfereji ati. Au mnasemaje?

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.