Habari za Punde

MASKANI YA UMOJA WA MATAIFA- CHOKOCHO

HII ni moja ya Maskani katika kijiji cha Chokocho, Kisiwani Pemba inayoitwa Umoja wa Mataifa ikipeperusha bendera za Vyama mbalimbali katika maskani hiyo kukiwa na Bendera ya CCM, CUF, NRA , CHADEMA na kadhalika

Ni mfano mzuri kufikiriwa na maskani nyingi zilizopo kuonesha ukomavu wa kisiasa kama walivyotufundisha wanachokocho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.