RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (Unicef) Tanzania Bi Dorothy Rozga Ikulu leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (Unicef) Tanzania Bi Dorothy Rozga alipofika Ikulu leo kukutana na Rais.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment