Meneja wa Timu ya Soka ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar(kushoto) Omar Yussuf Mzee ambaye pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na mipango ya maendeleo akimkabidhi mipira Mwenyekiti wa Timu ya Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma(kulia)
Meneja wa Timu ya Soka ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar(kushoto) Omar Yussuf Mzee ambaye pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na mipango ya maendeleo akimkabidhi 'jezi' Mwenyekiti wa Timu ya Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma(kulia)
Meneja wa Timu ya Soka ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar(kushoto) Omar Yussuf Mzee ambaye pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na mipango ya maendeleo akimkabidhi soksi Mwenyekiti wa Timu ya Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma(kulia)
(Picha na Yussuf Simai,MAELEZO Zanzibar).
No comments:
Post a Comment