WANANCHI wakiangalia gari ya kuchukuwa Watalii ikiwa imeacha njia ikitokea Kiwengwa na kuingia katika duka maeneo ya Mahonda na kujeruhi watu watatu pamoja na kuharibu sehemu hiyo.
TCAA yashika Nafasi ya Kwanza Taasisi za Udhibiti Tuzo za NBAA 2024
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeibuka mshindi wa kwanza
katika kundi la Mamlaka za Udhibiti kwenye Uandaaji Taarifa za Fedha kwa
mwaka ...
7 hours ago
0 Comments