Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

 RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akimsindikiza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner, Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo yao.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.