Habari za Punde

DK SHEIN AWASILI NCHINI UTURUKI

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Hassan Servat Oktem,Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Uturuki,pamoja na viongozi wengine wa nchi humo,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,(kulia),alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.




Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar,Mhe,Pandu Ameir Kificho,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi, kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.


 
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,(kulia),alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander Gurbuz,(kushoto) na Balozi Hassan Servat Oktem,Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Uturuki,(kulia) pamoja na viongozi wengine wa Serikali ya Uturuki jana alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ankara Nchini Uturuki,akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Viongozi wengne wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzi bar,katika ziara Rasmi kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo.


Picha na Ramadhan Othman nchini Uturuki

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.