Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipowasili katika Jengo la Ofisi ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika mjini Dodoma, kwa ajili ya kuendesha kikao cha Baraza la Mawaziri leo. kulia Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akifunguwa kikao cha Baraza la Mawaziri katika Ukumbi wa Ofisi ya Wizara ya Kilimo Chakula na Shirika mjini Dodoma leo. Kushoto Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Amour Nassor VPO.
No comments:
Post a Comment