Habari za Punde

SEKRETARIETI YA CCM YAKAMILIKA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimpongeza Vuai Ali Vuai kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM Zanzibar katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma. Katikati Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimpongeza Januari Yussuf Makamba kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa kamati ya Sekretarieti ya CCM Taifa kwenye mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.


Amour Nassor VPO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.