Habari za Punde

MDAU UNAPAFAHAMU ULIPO MTI HUU?

5 comments:

  1. bustaninjema.blogspot.comMay 8, 2011 at 8:16 PM

    Asalam aleykum kaka mapara hapo ni kwa boni shangani zamani pia kwa pembeni ni ofisi ya wakina Abdi Mrope mtoto wa marehemu Ali mzee

    ReplyDelete
  2. Jengo hilo liko hapo Shangani na mpaka sasa inaitwa Tipu Tip House. Jengo ina historia lakini kama halitashugulikiwa, basi intaondoka na maji.
    Narendra Gajjar
    Calgary
    Canada.

    ReplyDelete
  3. Wenyeji wa Shangani utawajua tu. Inaonekana wako wengi ughaibuni. Haya mmepatia

    ReplyDelete
  4. Hahahaa, haswa huyo Narendra Gajjar, mtoto wa shangani pyua huyo. Juzi juzi alikuja kututaka hali Daily News alikokuwa anafanya kazi miaka ya nyuma. picha nyingi za 'from our files' ni za kwake. Kwao nyuma ya benki ya NBC ya hapo Shangani. Nimefurahi karekebishia kuwa sio 'tip top' bali ni 'tipu tip' yule wa kwenye historia. Mapara hongera kwa kazi njema. Kaza buti. Wafadhili wameshaanza kukutupia jicho kaka

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.