WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee akiwa na Mkoba wa Bajeti ya 2011 - 2012 akiingia katika Ukumbi wa Baraza kuwasilisha.
WAZIRI wa Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee akiingia katika Ukumbi wa Mkutano kusoma bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa 2011 - 2012.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa na Waziri husika leo.
WAWAKILISHI wakifuatia kwa makini Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa kusomwa kwa Bajeti leo jioni
WATENDAJI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisikiliza hutuba ya Bajeti wakiwa sehemu maalum ya wageni.
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa wakifuatilia Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikisomwa leo jioni.
MABALOZI Wadogo walioko Zanzibar wanaowakilisha Nchi zao wakisikiliza Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikisomwa.
WAGENI Waalikwa na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya 2011- 2012
WAGENI Waalikwa wakifuatilia hutuba ya Bajeti
WADAU wa Maendeleo wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa katika Kikao cha Baraza leo.
WAANDISHI wa Habari wakituma News katika Taasisi zao ili kuweza kutolewa na kuwafika wananchi, wakiwa katika chumba cha Intenet katika mjengo huo.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi akitoka katika Ukumbi baada ya kumaliza Hutuba ya Bajeti iliosomwa leo jioni.
MWAKILISHI wa Jimbo la Mkanyageni (CUF) Haji Faki Shaali akimpongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee baada ya kuwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa 2011 - 2012.
HONGERA Mhe. Waziri Omar Yussuf ndivyo inavyoonekana wakisema Waheshimiwa hao kulia Dk. Mwinyihaji Makame Waziri wa Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Asha Bakari Mwakilishi wa Wanawake.
Gud work Kaka
ReplyDelete