MKURUGENZI wa Shirika la Bandari Zanzibar Mustaf Aboud Jumbe akitowa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif alipofanya ziara Bandari ya Malindi.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Mustaf Aboud Jumbe akitowa maelezo ya matumizi ya Bandari hiyo akiwa sehemu ya kuhifadhia Makontena.kushoto Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamadi Masoud.
MAKAMU wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la wa Bandari Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya Meli ya MV. Jitihada akiwa katika ziara yake kutembelea Bandari ya Zanzibar, kulia Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud.
No comments:
Post a Comment