SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akitoka katika Ukumbi wa Baraza baada ya kuahirisha kikao cha Asubuhi, kujiandaa na Hutuba ya Bajetibaada yamaliza Maswali na Majibu.
WAZiRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud akiteta na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Jussa Ismail wa baada ya kughairishwa kikao cha Baraza asubuhi.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Viwanja vya Jengo la Baraza wakiwahi Kikao cha Asubuhi leo. cha maswali na Majibu Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Ali Salum, na wa Kwamtipura Hamza Hassan na katikati Mwakilishi wa Jimbo la
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akibadilisha mawazo wa Wajumbe wa Baraza katika Fatma Ferej na Zahra Ali Hamad wakiwa nje ya Ukumbi baada ya Kikao cha Asubuhi.
WAJUMBE wa baraza la wawakilishi wakitoka katika Ukumbi wa Baraza kulia Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud na Waziri wa Sheria na Katiba Abubakary Khamis.
WAFANYAKAZI wa TVZ wakiwa katika chumba cha kurushia matangozo wakiti wa kikao kikiendelea kuhakikisha Wananchi wanapata matukio ya Kikao.
No comments:
Post a Comment