Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini A Unguja jana wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni,kuzungumza na Viongozi hao katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha CCM katika Mikoa ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,pia Mjumbe waKamati Kuu ya CCM Taifa,(katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini,Juma Haji Haji,wakiimba wimbo wa Chama wakati wa Mkutano wa Viongozi wa CCM Wilaya ya Kaskazini A, katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Vuai Ali Vuai,katika ukumbi wa Chuo Cha Amali Mkokotoni,alipokutana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini A katika kuimarisha Chama,ikiwa ni mfululizo wa ziara zake,katika mikoa ya Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea taarifa ya Chama Mkoa wa Kaskazini,kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa Katerina Pita Nao, wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini A Unguja jana ,katika kuiamarisha Uhai wa Chama cha Mapinduzi,ikiwa ni mfulilizo wa ziara zake za kuimarisha CCM katika Mikoa ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maopinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini A Unguja jana,katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni,akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi katika Mikoa ya Unguja.
No comments:
Post a Comment