Habari za Punde

MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI SHIRIKA LA UMEME GULIONI

MENEJA Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Mbarouk akizungumza na Waandishi wa  habari vyombo  mbalimbali, Ofisini kwake kuhusiana matumizi ya majenereta ya dharura.


WAANDISHI wa habari wakimsikiliza Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme alipokuwa akitowa  maelezo ya mwenendo wa matumizi ya Umeme kwa Wateja wa  bidhaa hiyo ofisini kwake  Golioni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.