BALOZI Mdogo wa China Zanzibar Chen Qinman na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee, kutowa mafunzo ya Uwezesheji Viongozi Nchini China., utiaji wa saini huo umefanyika Wizara ya Fedha Vuga.
WAKIBADILISHA mafaili ya Mkataba, Balozi Mdogo wa China Chen Qinman na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee, baada ya kutiliana saini muswada huo.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee akitowa shukrani kwa Serikali ya China kwea Msaada huo.
BALOZI Mdogo wa China Zanzibar Chen Qinman akitowa maelezo kwa niaba ya Nchi yake kutokana na msaada huo kwa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment