Habari za Punde

FUTARI YA MABOGA IKIWA SOKONI MWANAKWEREKWE IKISUBIRI WALAJI RAMADHANI.

 MOJA ya futari zinazopendwa katika visiwa vya Zanzibar  maboga yakiwa katika soko la Mwanakwerekwe kwa ajili ya matumizi ya futari boga moja sokoni hapo linauzwa shilingi 1500/=  na 3000/=

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.