6/recent/ticker-posts

KIJIKO CHA IDARA YA BARABARA KIKIWA KAZINI

WAFANYAKAZI wa Idara ya Utunzaji wa Barabara Zanzibar wakifanya ukarabati wa Barabara ya Biziredi  ili kuweka lami katika sehemu ilioharibika ikiwa ni moja ya kuimarisha miundombinu ya Barabara.

Post a Comment

0 Comments