RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mama Mavis Lengalenga Muyunda aliyefika Ikulu mjini Zanzibar leo kuzungumza na Rais
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mama Mavis Lengalenga Muyunda aliyefika Ikulu mjini Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment