6/recent/ticker-posts

DK SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,Ikulu Mjini Zanzibar leo,katika mfululizo wa kuzungumza na kila uongozi wa Wizara.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.

Post a Comment

0 Comments