Assalaaamu 'Alaykum
Kwa niaba ya Blog ya Jikumbuke tunawatakia Waislamu wote Eid Mubaarak popote mlipo na tunawashukuru kwa kuweza kuwa pamoja kwa muda wote kuja kututembelea na kutoa maoni yenu. Tumuombe Mwenyezi Mungu atutakabalie Funga zetu, Visimamo vyetu, Sadaka zetu na Ibada zetu zote kwa jumla
EID MUBAARAK
No comments:
Post a Comment