CEO wa Kampuni ya Swissport Tanzania Ltd Guidence Temc akitowa shukrani kwa Wadau wao baada ya kupata futari ilioandaliwa nsa Kampuni hiyo katika Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
CEO. Guidence Teme wa Kampuni inayotoa huduma uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar SwissPort Tanzania Ltd. akijumuika nsa Waumini wa dini ya Kiislam katika futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wadau wake katika Hoteli ya Serena Shangani jana.
WAALIKWA katika futari iliondaliwa na Kampuni ya Swissport wakiwa katika futari hiyo iliyoandaliwa kwa ajili yao katika Hoteli ya Serena.
Mambo ya futari hayo yalioandaliwa na Swissport hoteli ya Serena.
MWAKILISHI wa Kampuni ya Swissport Zanzibar Nassor Mwinyi akijumuka na Wadau wao katika futari ilioandaliwa na Kampuni yake.
<
MDAU Mwantanga akijipatia dessert baada ya kupata futari
No comments:
Post a Comment