MDHAMINI mechi za maskanmi Abdalla Haroub (JAH) akiwa na kamati yake wakifuatilia mchezo wa Miembeni Conection na Death Row ya Melinne katika uwanja wa Kikwajuni leo.Hadi naondoka bado ngoma droo.
MCHEZAJI wa maskani ya Miembeni kulia Hamad Juma na Deathrow Salum Kimungwi wakiwania mpira katika mchezo wa michi za mskani hufanyika katika kipindi cha mwezi waRamadhani kila mwaka.
Hamad Juma wa Miembeni kushoto na Ali Mbali Deathrow wakiwania mpira
Mzee hapa umeniacha hoi sana yani nimefurahi kwa post kama hizi za maskani Ksk... Daaa lazima niwafikishie ujumbeee wadau wangu hahah wa kwanza Khamis Mashuu anakusalimia sana aliejkuwaa mtangazaji wa michezo kupitia tvz alikuwa anakaa Block number 7 niko nae! Ahsante sana kwa hii post
ReplyDelete