Mwanamama akianika karafuu zake kwa ajili mauzo yatayompatia kipato cha kujikimu na maisha huko Pemba hivi karibuni kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
0 Comments