Habari za Punde

VIONGOZI WA JUMUIYA YA MABOHORA WAKUTANA NA RAIS

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana Viongozi wa jumuiya ya Mabohora Zanzibar,wakiongozwa na Mwenyekiti Aamil Saheb Sheikh Shabbir Ismail, walipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Mabohora Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti Aamil Saheb Sheikh Shabbir Ismail, walipofika  Ikulu Mjini Zanzibar,kuonana na Rais.


Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.