Habari za Punde

ZIARA YA MWAKILISHI MAALUM WA UMOJA WA MATAIFA ANAESHUGHULIKIA UKATILI WA DHIDI YA WATOTO.


MWAKILISHI Maalum wa Umoja wa Mataifa anaeshughulikia Ukatili dhidi ya Watoto Marta Santos, akizungumza na watoto alipotembelea hospitali ya Mnazi Mmoja.
KATIBU Mkuu Wizara ya Ustawi nwa Jamii Maendelea ya Wanawake na Watoto Fatma Bilal akitowa maelezo ya kipeperushi kinachoujumbe wa kupiga vita unyanbyasaji dhidi ya watoto.kwa Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa anaeshughulikia Ukatili dhidi ya Watoto. Marta Santos.

MWAKILISHI Maalum wa Umoja wa Mataifa anaeshughulikia Ukatili dhidi ya Watot Marta Santos akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea na kuangalia baadhi ya vipeperushi vinavyopiga vita unyanyasaji dhi ya watoto.

1 comment:

  1. Mkuu hizi picha za juu ni kitu gani kinaendelea?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.