Habari za Punde

MAKABURI YA MASHAHIDI



Hili ni eneo la Kama ambapo yamechimbwa makaburi waliyolazwa mashahidi waliofariki katika ajali ya Mv Spice Islander. Serikali imeamua kuwazika maiti wote waliopatikana katika eneo hili.

2 comments:

  1. Serikali pia ijenge mnara,au alama yoyote katika eneo hili iwe ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

    ReplyDelete
  2. Eh, bwana kweli! lkn.kwa jamii kama yetu ya kihafidhina lazma watu wataihusisha na imani ya dini nyingine.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.