SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akitia saini kitabu cha maombolezi kilichowekwa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga.
MENEJA wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Mluku Abdalla akiweka saini kitabu cha maombolezi.
OFISA Uhusiano wa Benki ya NMB Tanzania Shy-Rose Bhanji, akiweka saini kitabu cha maombolezi.
No comments:
Post a Comment