6/recent/ticker-posts

DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Japan Nchini Tanzania,Mhe Masaki Okada,alipofika ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania,Mhe Masaki Okada,alipofika ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Post a Comment

0 Comments