.
MWANAMICHEZO Ahmed Bakar Khamis (16), akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Abdillahi Jihad Hassan kwa niaba ya Rais Dk. Ali Mohamed Shein medali ya dhahabu ambayo aliipata katika mashindano ya Olimpiki Maalum kwa Watu Wenye Ulemavu yaliyofanyika Athens, Ugiriki akiiwakilisha timu ya Taifa Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika jana katika ukumbi wa Wizara ya Habari, Mnazimmoja
No comments:
Post a Comment