Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA BODI YA SUZA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Bodi na Uongozi wa Chuo hicho ,katika ukumbi wa jengo la Makao Makuu ya Chuo hicho Vuga Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) Dk Ali Mohamed Shein, alipotembelea chumba cha kompyuta Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),akiwa katika ziara kutembelea jengo la Makao Makuu ya Chuo hicho Vuga Mjini Zanzibar jana.

Wajumbe wa Boti ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mkuu wa Chuo hicho,Dk Ali Mohamed Shein,alipofanya mazungumzo na wajumbe hao pamoja na uongozi chuoni hapo jana katika ukumbi wa mikutano Vuga Mjini Zanzibar
Mjumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Simai Mohamed,alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mkuu wa Chuo hicho Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa na mazungumzona wajumbe wa Bodi hiyo na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) katika ukumbi wa makao makuu ya chuo hicho Vuga Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na viongozi na wajumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar baada ya mazungumzo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chuo hicho Vuga Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na viongozi na wajumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar baada ya mazungumzo katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chuo hicho Vuga Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo hicho na wajumbe wa Bodi,katika jengo la Makao Makuu ya Chuo hicho Vuga Mjini Zanzibar jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.