Mdau wangu hayo ni mambo ya bahari, kama wanavyoonekana wavuvi hawa wakiwa katika harakati za uvuvi lakini kipato chake ni kidogo kuliko mchuuzi huwa ndiye anayefaidika. kazi kwako.....
MONGELLA AHANI MSIBA WA MGEJA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Bara, John Mongella akiwa
ziarani Mkoani Shinyanga amehani msiba wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa ...
7 minutes ago
0 Comments