Habari za Punde

Dk Shein Aufungua Masjid Maamur Kiembe Samaki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini wa dini ya kiislamu baada ya kuufungua Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki
Milimani Wilaya ya Magharibi Unguja jana,ambao unauwezo wa kusaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi wa msikiti huo ni Mia moja sabiini Milioni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi
Unguja jana,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi w msikiti huo ni Mia moja sabii Milioni,(kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.

Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini hao jana baada ya kuufungua Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja jana.

Picha na  Ramadhan Othman IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.