Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Chuoni vs Miembeni SC, zimetoka sare O-O

Beki wa Timu ya Miembeni Abubakari Khamis,(kulia) akimpita mchezaji wa timu ya Chuoni Saleh Hamad, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare ya 0-0.   
Mchezaji wa timu ya Chuoni Shaaban Moka (kulia)na mchezaji wa timu ya Miembeni SC, wakiwania mpira katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao.  


Mchezaji wa timu ya Miembeni SC, Saleh Rajab akiruka kihunzi cha beki wa timu ya Chuoni Shaaban Moka. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.