Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar akiwa katika kizuizi cha geti kuzuiya gari kuingia kupaki katika eneo la mkunazini inabidi kuegesha magari katika eneo hilo ni shilingi 500/= ili kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo la mkunazini.
WANANCHI BAHI YAZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI, MITI 20,000 KUPANDA
-
Na Mwandishi Wetu Michuzi TV, Dodoma.
KATIKA kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania za utunzaji wa mazingira na mapamban...
6 minutes ago
0 Comments