Mdau hili ndilo daraja lilokuwa likitowa huduma hiyo tangu enzi hizo na bado linaendelea na huduma hiyo na uimara wake bado uko palepale kama chuma, likipitisha gari moja, kama invyooneka gari hii ikipita katika daraja hilo.
Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa daraja la Donge Mkokotoni wakiendelea na ujenzi wake wa daraja hilo likiwa katika hutua ya kuweka zege.
No comments:
Post a Comment