Habari za Punde

Ibada ya Ijumaa Kuu Kanisa la Anglikana Mkunazini.

Father Michael Hafidh, akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mkunazini, na kuhudhuriwa na waumini wegi wa madhehebu hayo walioko katika Visiwa vya Zanzibar kitaifa imefanyika katika Kanisa Kuu Mkunazini leo mchano na kughudhuriwa na Askofu Mstaafu John Ramadhani.  
Askofu Mstaafu John Ramadhani, akighudhuria Ibada ya Ijumaa Kuu iliofanyika katika Kanisa la Mkunazini na kughudhuriwa na Waumini wa madhehebu hayo walioko Zanzibar. 
Waumini wa Kanisda la Anglikana Zanzibar wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mkunazini.  
Waumini wa Kanisda la Anglikana Zanzibar wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mkunazini.

1 comment:

  1. Hongera zao, halafu watu waseme eti Wakristo Z'bar wanabaguliwa.

    Wanasahau kua ukristo wenyewe uliazia visiwani, baada ya kukosa wafuasi ndio ukaelekea bara.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.