Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia Nchini
Tanzania Hani Abdalla Mohammed Mu'minah,aliyefika Ikulu Mjini
Zanzibar jana kujitambulisha kwa Rais.[Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Nchini
Tanzania Hani Abdalla Mohammed Mu'minah,aliyefika Ikulu Mjini
Zanzibar jana kujitambulisha kwa Rais.[Picha na Ramadhan
Othman,IKulu.]
No comments:
Post a Comment