Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Balozi wa Iran Nchini




 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Nchini Tanzania Mohsen Movahhed Ghomi.aliyefika Ikulu Mjini
Zanzibar jana kwa mazungumzo na Rais.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Nchini Tanzania Mohsen Movahhed Ghomi.aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa mazungumzo na Rais.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.