MENEJA Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania , Jackson Mmbando (katikati) akionesha kipeperushi cha Ongea kwa Nusu Shilingi wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Ofisi za Airtel Mlandege Zanzibar akiwa na Meneja Mauzo Airtel Zanzibar Hagai Samson na Meneja Mauzo wa Airtel kanda ya Pwani, Aminata Keita.Mlandege mjini Zanzibar.
MENEJA Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania , Jackson Mmbando (katikati) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar,kuhusu kwa ofa iliozinduliwa na Kampuni hiyo ya Ongea kwa Nusu Shilingi kwa Wateja wa Mtando wa Airtel waliopo katika Visiwa vya Zanzibar. kulia ni Meneja mauzo Airtel Zanzibar Hagai Samson na Meneja mauzo Airtel kanda ya Pwani, Aminata Keita, sherehe ghiyo ya uzinduzi wa Ongea kwa Nusu Shilingi u,imefanyika katika ofisi za Airtel Zanzibar Mlandege. mjini Zanzibar leo.
Waandishi wa habari na wakimsikiliza Meneja Uhusiana wa Airtel Jackson, akitowa maelezo ya wakati wa kuzinduwa Ongea kwa Nusu Shilingi kwa wateja wa Mtandao huo walioko katika Visiwa vya Zanzibar, iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Mlandege Zanzibar leo 22-5-2012.
Kweli Zenj uwanja wa fujo, huyo jamaa Simson namkumbuka anafanya kazi kwenye mahoteli, badae akasoma chuo cha utalii, leo ndo anachukuwa nafasi za kazi za wazanzibari. Naomba uhamiaji wamchunguze nakumbuka huyo jamaa ni Mkenya au Mrundi. kama anacho kibali ni feki ni vile vinavotolea na wizi wa uhamiaji Arusha
ReplyDelete