Habari za Punde

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM


Makama wa Rais wa Tanzania,Dk.Mohamed Gharib Bilali,Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Katibu wa Oganaizesheni ya CCM Taifa, Asha Abdalla Juma,wakisimama na kuimba wimbo wa Chama cha Mapinduzi wakati Mwenyekiti wa Chama hicho alipoingia katika ukumbi wa Mkutano wa White House, alipowasili katika ukumbi huo Mjini Dodoma kufungua kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akifungua mkutano wa Siku moja wa Halamashauri Kuu ya Taifa,CCM katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma jana,wengine (kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu Dk Amani Abeid Karume,(kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama

Wajumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa CCM,wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa White House Mjini Dodoma,wakati kikao cha siku moja kilichofunguliwa na Mwenyekiti wake Rais Dk.Jakaya M.Kikwete
Wajumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa CCM,wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa White House Mjini Dodoma,wakati kikao cha siku moja kilichofunguliwa na Mwenyekiti wake Rais Dk.Jakaya M.Kikwete

Picha na Ramadhan Othman Ikulu

1 comment:

  1. Ndiyo wazee, wembe huohuo!
    "Bila CCM imara nchi yetu itayumba".. J.K.Nyerere

    Wenzetu (wapinzani) wao wapo ktk kugawa nchi tuu!
    Chadema wanataka nchi huru, majimbo ya kaskazini na Hawa wa 'Bahamadi' japo wanajificha lakini na wao wanataka Zanzibar huru.

    Sasa sijui tutafikia wapi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.