Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akihutubia katika uzinduzi wa sherehe za "Holy Ghost
Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya
Stella Maris huko Bagamoyo, Mkoa
wa Pwani, akiwa mgeni rasmini katika sherehe hizo..
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akipokewa kwa shangwe alipowasili katika ukumbi wa mikutano kwenye sherehe za
"Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya
Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea majengo ya hosteli hiyo baada ya kuifunguwa , akiwa na wenyeji wake katika sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th
General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris
aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita wa Marian Girls Secondary
school kwenye kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General
Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua
leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani(Picha na Ikulu Dar)
No comments:
Post a Comment