Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akitoa hotuba katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hio Agostino Ramadhan.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar
Mwandishi wa Habari Kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari Kutoka Gaazeti la Majira Mwajuma Juma akiuliza maswali katika Mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph Warioba akisisitiza jambo katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment